ZITTO KUITWA NA KAMATI MAALUMU YA UCHUNGUZI WA MABILIONI YA NJE.


TAREHE
KAMATI
MAELEZO YA ZITTO
28/02/2013
Aliitwa na kamati ya kufuatilia fedha za Uswiss katika ofisi ya Mwanasheria mkuu wa serikali Dodoma.
Alitoa taarifa kuwa anazo nyaraka zote zenye taarifa za walioficha fedha Uswis kwa majina na namba za account zao.


Pia alitoa masharti ya yeye kutoa ushahidi huo mbele ya kamati.


1. Kwanza asibugudhiwena mtu kwani taarifa alizonazo ni za siri.
2. Ahakikishiwe usalama wake kwa kuwa taarifa hizo ni nyeti sana.
20/03/2013
Kamati ilimwita Dar Es Salaam
Alitoa udhuru kuwa yupo jeshini hivyo hawezi kufika mbele ya kamati kwa wakati huo.
22/03/2013
Kamati ilimfuata katika kambi ya jeshi Tanga kwa mahojiano nae.
Katika majadiliano hakuweza kutoa majibu na kutaka wamwache hadi atakapo maliza mafunzo ya jeshi na kurejea ndipo atatoa huo ushahidi.
12/04/2013
Kamati ilimwita tena Dodoma kwa mahojiano.
Alitoa udhuru kwa kusema anasafari ya kwenda Afrika Kusini.
14/05/2013
Kamati ilimwita tena Dodoma kwa mahojiano nae kupta ushahidi na majina aliyodai anayo.
Hakufika mbele ya kamati na akasema,
1. Ana hoja yenye maslahi kwa taifa.
2. Kamati iliwasiliana naye akadai anajiandaa na mdahalo wa kigoda cha mwalimu Dar Es Salaam.
18/06/2013
Kamati ilimwita tena bila kuchoka
Alitoa udhuru kuwa anafanya maandalizi ya timu ya Taifa kwenda AFCON kwa kuwa yeye yupo katika kamati ya maandalizi ya timu ya Taifa.

Kamati baada ya usumbufu wote huo ikaona ni vema kutumia njia mbadala ya kupata taarifa alizonazo ili kuiwezesha serikali kuchukua hatua.


Kamati ilimpa Mh Zitto Zuberi Kabwe hati ya kuitwa mbele ya kamati.
Zitto kwa kuapa mbele ya kamati alisema,
Sina jina lelote wala akaunti ya mtu yeyote anaemiliki fedha Uswis.
12/12/2013

Zitto katika mchango wake alidai kwa nini hoja yake haisikilizwi na serikali ipo kimya huku yeye nayo majina

No comments:

Post a Comment