Theo Mutahaba amjibu Zitto

Ndg. Zitto
Nasikitishwa sana na hizi tabia zako za ajabu ajabu. Mimi nafanya kazi katika moja ya taasisi za ki usalama na nimeshirkia mara kadhaa kukupa fedha. Nyendo zako hata na sisi tunazijua na nimeshangazwa na utoto wako wa kuandika waraka ambao umetoa vitisho ambayo inadaiwa kutoka kwa Andrea Codes. Ndugu napenda kukuonya kwamba umefanya mengi ambayo hata wana Chadema hawajui.
 · Swala la Bomu Arusha ulishiriki na lengo ilikuwa ni kumuua mwenyekiti wa Chadema pamoja na
Ndg. Lema. Hii kitu ulipanga, wewe, mwigulu na vyombo vya usalama ·Zitto, rais Kikwete alipoenda Sudan ya Kusini uliambatana naye. Unakumbuka sababu ya wewe kuitwa? Nikukumbushie kwamba ilikuwa zawadi kwako ya kuihujumu chadema. CCM hawakupendi, bali wanapenda hujuma zako ndio maana walikudanganya kwamba watakusaidia kupata uenyekiti CDM ikiwepo kumuua Mbowe na
kumdhoofisha Dr. Slaa
 · Ndg. Zitto unadanganya umma kwamba unafuatilia fedha Uswisi wakati hii ni njama ambayo imesukwa na TISS kisha ukakabidhiwa ili CHADEMA isiibane sana serikali.
· Tueleze ni majina gani uliyoyapata. Na kama umeyapata, tunaomba kujua jina lako ni namba ngapi, kwa sababu na wewe una fedha nje ya nchi na ushahuidi tunao
· Umekuwa ukijenga mtandao wa kuwania uenyekiti na fedha ulizopewa na TISS pamoja na CCM ili kumn’goa Bw. Mbowe kwenye uenyekiti
wa CHADEMA ili 2015 CCM ishinde.
· Zitto, una ghorofa Dodoma karibu na St. Gasper Hotel. Fedha za kujenga lile jengo zimetoka wapi? · Zitto, Barrick gold walikujenga shule pale jimboni kwako. Baada ya lile shule kujengwa na pia kupewa kitita cha fedha ulinyamaza kabisa
 · Ndg. Zitto, wakuu wengi wa mashirika ya umma wameleta malalamiko TISS kuhusu unavyochukua
fedha kwao. Hilo unalijua kama ni ufisadi?
Ndg. Zitto, wewe ni kijana mdogo. Hizi tamaa zako za kifisadi zitaipeleka nchi pabaya. Tunakuangalia na kelele zako hasa fedha za uswisi. Usichezee na akili za watanzania. Wewe ni fisadi namba moja.
Umeficha fedha nje, ama nikukumbushe kwamba, majuzi ulipokuwa nje ya nchi ulitoa fedha kwenye benki Fulani. Ile account umefunguliwa na nani?
 Badilika kijana. Kisiasa umeshajimaliza. Pengine nikukumbushie kwamba mawasiliano yako na Jack Nzoka, Mwigulu, Ridhiwani za kisaliti ndio chanzo cha kuanguka kwako. Ila hacha kuwadanganya watanzania na kiini macho cha Uswisi. Umeshajua mengi sana , usishangae kijana ukija kutoweka ghafla. TISS hawachezi na mtu. Na ni wao au CCM ndio watakao kumaliza sio CHADEMA. Ule waraka unaosambaa ni mali ya TISS na imeratibiwa na CCM ambao ndio ndugu zako wakubwa Andrea, take care of your son. Get out of these Zitto corrupt acts. you know quite well that we wired you money and we have the evidence. Why would you waste your effort making noises? do you know the German government is investigating this matter? why would you fall for Zitto childish internet games of writing emails to the Chadema
leaders. So for your information, the document came from CCM and Tanzania Intelligence
Services Nakutakia kila la kheri kwenye kuhujumu Chadema.
15103
15103

14 comments:

  1. watu piiipoooo!!!
    kula mwana wane Mungu atatuhukumia mwenyewe!!!

    ReplyDelete
  2. Huwezi ktdanganya watanzania kitoto, hvyo uliye andika hyo utajibu!

    ReplyDelete
  3. uongo mtupu hakuna watoto hapa!!!!

    ReplyDelete
  4. Umetia aibu quotation ya Malcom X hapo juu. Upuuzi mtupu umeandika...Hivi mnafikiria watu wajinga sana. Aliyeandika ile ya kijasusi na wewe akili hamna kaanzeni upya

    ReplyDelete
  5. Hapa hamna kitu uwongo mtupu

    ReplyDelete
  6. Umesema ww mtu wa usalam.
    maana yake mipango yote unaijua.
    ajabu unaposema una ushahidi.wakati ww wa usalama ndio mshilika wa zito.embu eleweka ww muandishi

    ReplyDelete
  7. Zitto amekuwa fisadi wa siku nyingi, alitumika pia kuhujumu uchunguzi wa Richmond kwa kuja na mapendekezo kwamba serikali inunue mitambo ile ya Richmond, huku nyuma yake Zitto ana chake.

    ReplyDelete
  8. NONE SENSE ...UJINGA MTUPU,,

    ReplyDelete
  9. I cant believe this

    ReplyDelete
  10. wewe ngamia POLI MKUBWA WEWE,,, Hiviii unatuona sisi watoto wadogo ambao hatuwezi kupembua mambo yakinifu na kuchanganua,,,,wewe umetumwa na CHADEMA,,,, hilimuradi lengo lako lakumchafua NDUGU ZITO litimie,,#Etii TISS wanamtumia?wewe kwanza ni muongo hao TISS ata huwajui unalopoka2 kwa maneno yenu yakinafiki KENGE WEWE....ETI CHEDEMA ,,,,AKUNA LOLOTE UKO MUMEKAA KIKASKAZINI2 WANAFIKI NYIE SI BOLA CCM MTU YEYOTE ANAINGIA NA ANAPATA MADARAKA,,,,ACHA NYIE WANAFIKI WAKUBWA TENA WAROOO WAMADARAKA KWAJILI YAKUJINUFAISHA TENA NYIE MKIINGIA MADARAKANI NDIO HII NCHI HITAKWISHA KABISA,,,,SASA,,WW KENGE KAMWAMBIE MUME WAKO FRENK MBOOOOE AMBAYE ALIKUWA ZAMANI ANAFANYA KAZI BOT NA BOSS WAKO MTEI ....UNITAFUTE TENA WALA SIKAI MBALI NJOO LUGALO UTANIKUTA AREA G,,,ULIZIA CAPT KIMARO SHIRIMA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bila shaka limekugusa sana mkuu umekuja kwa jaziba nyingi sana na kushauli unapo taka kutoa au kufanya jambo kwa umakini punguza jaziba..

      Delete
  11. Pumba tupu umeandika

    ReplyDelete