
Mti huu ni kumbukumbu kwamba umetutoka kimwili lakini ungali nasi kiroho hadi tutakapoungana nawe katika makazi ya Baba wa milele.


Dr. Slaa alipofika kwenye msiba wa familia ya hayati Daud Mwangosi kuwapo pole.

Daud Mwangosi, ameacha mjane na watoto wanne.

No comments:
Post a Comment