Serikali ya CCM ni janga kwa watanzania, yazidi kumwanika Pinda

Serikali ya chama cha Mapinduzi (CCM) imezidi kumwanika Waziri mkuu Mizengo Peter Pinda baada ya siku za karibuni kununua magari ya bei mbaya yanye thamani ya $2.5Milioni na kuwaacha watanzania wakijiuliza kulikoni kwani miezi hata mitano haija pita tangu alitangazie taifa kwama mara ya pili kuwa serikali yake ya chama cha mapinduzi wengi hupenda kukiita chama cha mabwepande hakitanunua magari ya bei kubwa na hivi sasa wamenunua magari hayo 25 kwa zaidi ya TZS 4,000,000,000/=

 huku kukiwa na migomo ya madaktari na walimu wakidai serikali inunua TC Scanner ambayo mwanzoni mwa mwezi huu raisi alisema ni gharama kubwa sana kununua TC scanner kwani kwa moja ni $700,000, huku walimu akiwaambia hana pesa za kuwalipa madai yao. Je kipaumbele za serikali hii ni nini?

No comments:

Post a Comment