Maiti wakiwasili katika bandari ya Malindi
Waokoaji wakiokoa moja ya maiti. wakiwa katika boti ya Kilimanjaro.
Mwokoaji akiwa na mmoja wa maiti wa ajali hiyo
Majeruhi wakiwa katika mgongo wa boti hiyo wakisubiri kuokolewa.
Majeruhi akiokolewa
Boti ya KMKM ikiwa katika zoezi la kuokowa majeruhi.
TUJIKUMBUSHE HALI ILIVYOKUWA MWAKA JANA AJALI YA SPICE ISLANDER HUKO VISIWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano pamoja na Rais wa Zanzibar wakiangalia maiti za watoto waliofariki kutokana na ajali ya boti ya Spice Islander iliyotokea huko Zanzibar
Wakati huo huo serikali imetangaza siku 3 za maombolezo sanjari na kuahirishwa kwa vikao vya bunge na baraza la wawakilishi. Swali linajirudia pale pale matukio kama haya ni nani wa kulaumiwa na ni nani atakayemvisha paka kengele. Matukio kama haya ni uzembe, ubabaishaji na kuziweka roho rehani za watanzania wasio na hatia. Laiti wangeyaona haya machungu wangetambua umuhimu wa kuzingatia usalama majini, angani na nchi kavu. Lakini wataishia kusema kazi ya Mungu haina makosa .Tusimsingizie Mungu kwa uzembe wetu. Katu
POLENI WAZANZIBARI...POLENI WATANZANIA.
No comments:
Post a Comment